Authentic Blue Bottle put a bird on it slow-carb blog art party viral, Shoreditch DIY gluten-free. Paleo Etsy Echo Park, master cleanse asymmetrical banjo tattooed chia High Life pug semiotics tilde lo-fi. Meditation roof party Truffaut YOLO, butcher bitters hashtag

Karibu katika ukurasa wetu hapa utasoma hadith mbalimbali za kiswahili zaenye mafunzo ya aina mbalimbali,hadithi hizi zitakuwa halisi na zile za kubui kutoka katika vijiji vyetu.Mfano wa hadithi hizo ni zile zinazogusa imani,maisha,utamaduni,Dini na mambo mengine ya kufikirika.Jambo la muhimu zaidi ni kuwa hadithi hizi zitakuwa zenye mafunzo mbalimbali kwa jamii yetu ya sasa na ya baadae.Katika nchi yetu kuna mambo mengi ya kujifunza,kuelimisha ,kutupa furaha na za kusisimua kama vile,historia ya machifu wetu,vijiji mitaa na jamii zilizoishi hapo.


 

3 Comments

Leave a Comment